Profesa Janabi akabidhiwa ofisi WHO
Dar es Salaam. Profesa Mohamed Janabi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika amekabidhiwa ofisi na kuanza rasmi kazi. Janabi amepokewa ofisini kwake leo Jumatatu, Juni 30, 2025 kwenye ofisi za Kanda ya Afrika zilizopo nchini Congo, Brazzaville, baada ya kula kiapo Mei 28, 2025 mwaka huu. Katika nafasi yake…