
Kalaba apata nafuu, aanza kuzungumza, kula
ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa, Ofisa Uhusiano wa University Teaching Hospital (UTH), Nzeba Chanda, amesema kwamba Kalaba baada ya kupata nafuu amefanikiwa kupata mlo wa kwanza tangu ajali hiyo ilipotokea Jumamosi iliyopita. “Hali…