
SMZ yatoa ufafanuzi kinachodaiwa hali ngumu maisha ya Dk Salmin
Unguja. Wakati mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi, Suleiman Haroub Suleiman akisema Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma anaishi katika hali ngumu baada ya nyumba yake kukabiliwa na mmomonyoko wa udongo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa ufafanuzi ikisema inawalinda viongozi wake na masilahi yao. Hata hivyo, SMZ imesema mbunge huyo ameuliza swali…