Nauli mwendokasi Mbagala huenda ikawa ‘buku’

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku sita kuanza kwa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka ‘mwendokasi’ barabara ya Mbagala, huenda nauli ya safari moja ikawa Sh1,000. Taarifa ya kuanza kwa huduma ya usafiri huo Mbagala ilitolewa wiki iliyopita na Mkurugenzi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia alipozungumza na The Citizen….

Read More

Bado Watatu – 8 | Mwanaspoti

Nikakaa kwenye kiti na kumuuliza. “Kuna taarifa yoyote ambayo mmeshaipata kuhusiana na mtu aliyefanya yale mauaji?” “Bado hatujapata taarifa yoyote, tunawasikiliza ninyi polisi.” “Kwa upande wetu tumemgundua muuaji….” “Ni mtu anayeitwa Thomas Christopher. Sijui kama unamfahamu mtu huyo” “Thomas Christopher?” “Ndiyo Thomas Christopher.” Alphonce akatikisa kichwa. “Naamini kwamba ni mmoja wa marafiki wa marehemu na…

Read More

TRA yaja na mfumo mpya makusanyo ya kodi

Arusha. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki wa usimamizi wa maarifa (Knowledge Management System) unaolenga kuongeza uwazi na weledi katika ukusanyaji wa mapato. Mfumo huo unatajwa kuongeza ufanisi, uwazi, kupunguza mianya ya rushwa kwa watendaji wasio waadilifu, kuongeza usawa ambapo hakutakuwa na mlipakodi atakayetolewa makadirio makubwa sana au atakayependelewa kwa kutoa…

Read More

Bado Watatu – 7 | Mwanaspoti

“MUME wako anaitwa nani?” “Anaitwa Omar Kikasha.” “Hakuna mtu mwingine anayeishi katika nyumba hii anayetumia jina hili?” Nilianza kutomuamini mwanamke huyo kwa kuhisi alikuwa anatuficha. Tabia ya binaadamu akishaona mtu anaulizwa na polisi hata kama hajui amefanya kosa au la, anamficha. Sijui ni kwanini? “Mume wako yuko wapi?” nikamuuliza. “Anafanya kazi wapi?” “Mume wangu ni…

Read More

AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA

📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya mradi huo kutekelezwa kwa wakati na kwa usahihi 📌 Aagiza wananchi 1,014 waliopisha mradi kulipwa…

Read More

Wanaodaiwa kuua mwanafamilia, waendelea kusota rumande

Dar es Salaam. Mshtakiwa, Fred Chaula (56) na wenzake wawili, wanaokabiliwa na kesi ya mauaji watalazimika kuendelea kusalia rumande hadi Septemba 8, 2025. Hiyo, inatokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mbali na Fredy, washtakiwa wengine ni Bashir Chaula (49) dereva bodaboda na mkazi wa Tegeta pamoja na Denis…

Read More

Bado Watatu – 6 | Mwanaspoti

“NIKAITAZAMA namba yake na kuiandika kwenye notibuku yangu kisha nikaingia upande wa meseji zilizotoka ambazo aliziandika marehemu mwenyewe.Huko nilikuta meseji kadhaa lakini nilizozitilia maanani zilikuwa meseji mbili ambazo aliziandika katika tarehe ya jana yake.Moja iliuliza.“Nyumbani wapi?”Ya pili ikauliza.Utakuja saa ngapi?”Nikahisi kwamba meseji hizo zilikuwa majibu ya zile meseji zilizotumwa ambazo moja zilisema; “Itabidi nije nyumbani…

Read More