DKT. SAMIA AONGOZA UTEUZI CCM

 ::::::: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.

Read More

DK.SAMIA:ANAKWAMBIA ATALETA MAJI KWANI SIKU ZOTE ALIKUWA WAPI?

*Mwingine anasema atatoa elimu bure…kwani CCM hatujatoa ? Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Lindi MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema kwamba hakuna chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama kama Chama hicho. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 25,2025 alipokuwa akihutubia mamia ya wananchi…

Read More

KERRY 2026 TASTE CHARTS REVEAL TANGERINE, TAMARIND, AND MANGO CHILLI DRIVE A CONTINENT-WIDE SHIFT IN FLAVOUR

 *********** TANZANIA, Dar Es Salaam – Kerry, the global leader in taste and nutrition, has unveiled the Tanzania 2026 Taste Charts, highlighting a definitive shift in consumer palates across the continent. The new reports, covering 54 countries across Africa, including Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Zambia, signal that African consumers are moving beyond traditional staple…

Read More

Muelekeo mpya ukusanyaji wa mapato

Dar es Salaam. Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi imependekeza mabadiliko katika sekta ya kodi, ikiwamo kubadili jina la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuitwa Huduma za Mapato Tanzania (TRS). Tume hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wake, Balozi Ombeni Sefue, ilianzishwa Julai 31, 2024 na kuanza kazi Oktoba 4, 2024 imekuja…

Read More

ICC T20 Tanzania yafanya kweli Windhoek

TANZANIA imeshinda mechi yake ya pili ya michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa Kriketi ya mizunguko 20 (T20) baada ya kuifunga Kenya kwa mikimbio 30 katika mchezo uliopigwa mwanzoni mwa juma mjini Windhoek, Namibia. Tanzania ndio walioanza kubeti na kufanikiwa kutengeneza mikimbio 125 ikiwa imepoteza wiketi 8 baada ya kumaliza mizunguko yote…

Read More