
CHAN 2024: Sudan, Senegal kazi ipo Amaan Complex
HATUA ya makundi ya michuano ya CHAN 2024 inafikia tamati usiku wa leo Jumanne kwenye viwanja viwili tofauti, jijini Dar es Salaam na visiwani hapa wakati timu nne za Kundi D zitapepetana kusaka nafasi mbili za mwisho za kutinga robo fainali. Jijini Dar es Salaam, Nigeria iliyoaga mapema michuano hiyo kwa kupoteza mechi mbili za…