Shule ya Viziwi Buguruni yapata ushindi wa kitaifa VIA Creative 2025
SHULE ya Msingi ya Viziwi Buguruni imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mpango wa VIA Creative 2025, unaoendeshwa na Kampuni ya TotalEnergies kwa lengo la kuhamasisha elimu ya usalama barabarani kupitia ubunifu na sanaa kwa wanafunzi. Washindi hao wametangazwa Novemba 13, 2025 jijini Dar es Salaam katika makao makuu ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, ambapo…