Mgombea Chadema adaiwa kutekwa, Polisi yaanza ufuatiliaji
Mwanza. Ikiwa imebaki siku moja kufanyika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa mgombea wake katika nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa wa Buswelu ‘A’ wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Pastory Apolinary ametekwa. Madai ya kutekwa kwa mgombea huyo yametolewa leo Jumanne Novemba 26, 2024, na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya…