Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP
BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya ujasiriamali, biashara, na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali kama sehemu ya kuunga mkono ujumuishwaji wa watu wote, wakiwemo wanawake, katika mipango mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kupitia mpango wake wa ‘Exim…