Maofisa wa Takukuru wafundwa | Mwananchi
Kibaha. Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru ) imeanza mafunzo ya siku mbili kwa maofisa wake waajiriwa (307) kutoka mikoa yote nchini ili kuwaongezea weledi na utaalamu kuhusu manunuzi ya umma. Mafunzo hayo yanafanyika wilayani Kibaha mkoani Pwani ambapo maofisa hao wanapitishwa na kuelezewa kuhusu manunuzi ya umma kupitia mfumo wa mtandao (NeST),…