Wafanyabiashara watakaonunua parachichi mashambani kudhibitiwa Rungwe
Mbeya. Katika jitihada za kudhibiti wanunuzi holela wa zao la Parachichi mashambani ,Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, imekuja na mkakati wa kuanza ujenzi wa mradi wa vituo saba vya kukusanyia kabla ya kuingizwa sokoni. Mradi unatekelezwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana halmashauri hiyo, kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao…