
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya, yapata kitanda cha upasuaji cha kisasa
Mbeya. Hospital ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH) imepokea kitanda cha kisasa cha upasuaji chenye thamani ya Sh37 milioni ambacho kinatumia mifumo ya kidigitali na nishati ya umeme. Kitanda hicho kina vifaa vya kisasa ambavyo vitawawezesha madaktari wawili au mmoja kufanya oparesheni ambayo ingefanywa na madaktari sita mpaka saba. Umoja wa wanawake watumishi wa hospitali…