
Vodacom yazindua simujanja maalumu itakayosaidia wateja wenye ulemavu – MWANAHARAKATI MZALENDO
Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Digit, Abdul Rehman Mahmood (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa simu maalum iitwayo Smart Kitochi+ kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa kuona na kusikia huku…