
Ushirikiano na Marekani Kuboresha Lishe na Maji Safi – MWANAHARAKATI MZALENDO
Kigoma – April 17, 2024, Serikali ya Marekani imezindua mradi wa USAID Lishe wenye thamani ya dola milioni 40, unaoendeleza ushirikiano wa muda mrefu kati ya Marekani, serikali ya Tanzania na sekta binafsi katika kupanua upatikanaji wa vyakula vyenye lishe na huduma za maji safi kwa jamii. Hivi sasa, asilimia 30 ya wanawake na…