WANANCHI WAENDELEA KUELIMISHWA UFUGAJI WA NYUKI
Wananchi wanaendelea kuelimishwa kuhusu ufugaji wa nyuki kuwa ni fursa kubwa ya kipato na maisha bora kwani nyuki wanatupa asali yenye thamani kubwa sokoni, lakini pia wanasaidia kuchavusha mazao yetu na kulinda uhai wa mazingira. Ni muhimu wadau na wananchi mbalimbali kubadilika na kuacha kutumia moto wakati wa kuvuna asali kwani moto unaharibu mizinga, unaua…