
CHUI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI RASMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KATA YA NJIA PANDA
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. MGOMBEA Udiwani wa Chama cha Mapinduzi kata ya Njia panda, John Meela (Chui) ameahidi endapo atachaguliwa kuwa Diwani atakahikisha kipaombele cha kwanza ni ujenzi wa barabara za ndani katika kata hiyo zinapitika kipindi chote. Meela ambaye ni Mfanyabiashara katika mamlaka ya mji mdogo wa Himo ametoa kauli hiyo leo wakati alipochukua…