Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete ahimiza ufanisi uratibu wa shughuli za vijana na ajira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete amehimiza menejimenti na watumishi wa ofisi hiyo kuongeza ufanisi katika kuratibu shughuli za vijana na masuala ya ajira nchini ili kutimiza matarajio ya vijana katika kukuza maendeleo ya Taifa. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema kuwa dhamira ya Mhe….