Idadi ya waliofariki katika maporomoko ya udongo Uganda yafikia 23
Idadi ya watu waliofariki nchini Uganda kutokana na mkasa uliotokea katika eneo la kutupa taka la Kiteezi imefikia 23, wakati rais Yoweri Museveni akiagieza uchuguzi kufanyika kutokana na mkasa huo. Ni mkasa uliotokana na taka kuangakia eneo la maakazi ya raia, shughuli za uokozi bado zinaendelea kutafuta manusura katika eneo la mkasa. Ripoti zaidi zinasema…