
Vijana 12,000 kunufaika na mradi wa EACOP
Geita. Vijana 12,000 kutoka mikoa ya Geita, Kagera, Tabora na Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa kuwawezesha kiuchumi unaotekelezwa katika maeneo yaliyopitiwa na Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mradi huo ni sehemu ya mpango wa uwajibikaji wa kampuni hiyo kwa jamii wakati na baada ya ujenzi wa bomba hilo. Akizungumza katika uzinduzi…