Mashabiki Yanga wavamia ‘airport’, mastaa wakitua Mbeya
Mbeya. Mashabiki wa Yanga jijini hapa wamejitokeza kwa wingi kuipokea timu yao huku wakitamba kutembeza kipigo kizito watakapoivaa KenGold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Yanga ambao wametoka kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya CBE SA, keshokutwa Jumatano Septemba 25 mwaka huu itacheza mchezo…