
CHINI YA RAIS SAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO WAFIKIA TZS3.1TRILIONI MWAKA 2025 KUTOKA TZS1.72TRILIONI ZA MWAKA 2020
::::::::: Chini ya Rais Samia, mapato ya ndani yameongezeka kutoka shilingi trilioni 20.59 mwaka 2020|21 (wastani wa trilioni 1.72 kwa mwezi) hadi trilioni 29.83 mwaka 2023|24 (wastani wa trilioni 2.49 kwa mwezi) kwa sasa mapato yamefikia trilioni 3 kwa mwezi, huku kati ya Julai 2024 hadi Mei 2025 yakipanda zaidi kufikia wastani wa trilioni 2.83…