JUNGULU ATEMA CHECHE AWATAKA WANA CCM KUUNGANA NA KUVUNJA MAKUNDI
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Picha ya ndege iliyopo katika Halmashauri ya Kibaha mji Grace Jungulu amewahimiza wanachama wote kuhakikisha kwa sasa wanavunja makundi yote na kuungana kwa pamoja na kueleleza nguvu ili kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mtaa. Jungulu ameyasema hayo wakati akizungumza na baadhi…