
CHAN 2024: Ngoma ataja makosa yaliyoing’oa DR Congo
KOCHA wa DR Congo, Otis Ngoma ameonyesha masikitiko yake baada ya timu yake kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya mashindano ya CHAN 2024, licha ya kuonyesha kiwango kizuri katika baadhi ya vipindi vya mechi ya mwisho ya kundi A dhidi ya Morocco. DR Congo ambayo imewahi kutwaa ubingwa wa CHAN imefungashiwa virago vyake huko…