Fountain , KenGold ukilenga tu imooo

ACHANA na taarifa za kushuka daraja kwa KenGold na Kagera Sugar kuna timu ambazo Ligi Kuu Bara msimu huu, kila lango lao likilengwa huwa imoo, kwa kuruhusu mabao mengi hadi sasa ligi ikisaliwa na mechi za raundi mbili kufungia msimu mbali na kiporo cha Kariakoo Dabi. Fountain Gate iliyopo nafasi ya 14 ndiyo inayoongoza kwa…

Read More

Mahamaka yampa Dhamana ‘Boniface Jackob

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachilia huru kwa dhamana aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubongo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ baada ya kutupilia mbali pingamizi la upande wa Jamuhuri la kuzuia dhamana dhidi yake. Uamuzi huo umetolewa leo Oktoba 7,2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi Franco Kiswaga wa mahakama hiyo, wakati kesi hiyo…

Read More

Mbeya City yaanza usajili Ligi Kuu Bara, Malale naye ndani

Timu ya Mbeya City imesema wakati ikiendelea na usajili, lakini upande wa benchi la ufundi imeshamalizana na Kocha Mkuu, huku ikikiri wapo wachezaji watakaoachwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo matakwa yao. Pia imesema baada ya kufanikiwa kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao, itaandaa sherehe Mei 31 kupongezana kutimiza malengo. Akizungumza leo Jumapili Mei…

Read More

Upelelezi kesi ya ‘Bwana Harusi’ bado ngoma mbichi

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya wizi wa gari na fedha inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe (36), maarufu “Bwana harusi,” haujakamilika. Masawe anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni wizi wa gari aina ya Toyota Ractis lenye thamani ya Sh15…

Read More

Mambo yanayomsubiri Chongolo Wizara ya Kilimo

Dar es Salaam. Wadau wameeleza matarajio yao kwa Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo huku wakitaja mambo wanayotamani yapewe kipaumbele ili kuongeza tija kwenye sekta hiyo. Tayari zimepita siku nane tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipotangaza baraza jipya la mawaziri ambalo Chongolo ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo akipokea kijiti kwa Hussein Bashe aliyewekwa kando. Wakizungumza na…

Read More