‘Miradi ya miundombinu ikamilike wa wakati’

Morogoro. Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dunstan Kyobya, ametaka miradi ya miundombinu kukamilika kwa wakati ili kuepusha wananchi kukwama kwenye shughuli zao za kiuchumi. Jana Ijumaa, Februari 26, 2026 akiwa katika ziara ya kukagua hali ya barabara na madaraja, Kyobya amemuagiza mkandarasi anayejenga Daraja la Mto Mfuji lililopo…

Read More

Ngome Yazidi Kung’ara BAMMATA – Global Publishers

Timu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya  Michezo mbalimbali ya Majeshi (BAMMATA) ambayo yanafanyika mjini  Zanzibar. Baadhi ya michezo ambayo inaongoza  hadi sasa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa mikono (handball), mpira wa pete…

Read More

Mabaharia wa Zenji waliamsha Afrika

MABAHARIA wa Zanzibar, KMKM inakuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kutupa karata katika mechi za marudiano ya michuano ya CAF wakati jioni ya leo itakapoikabili AS Port ya Djibouti kwenye Uwanja wa New Amaan, visiwani Zanzibar. KMKM ilianza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushinda mabao 2-1 ikiwa wageni wa AS Port licha…

Read More

Katwila aachiwa msala Geita Gold

ALIYEKUWA Kocha wa Bigman, Zubery Katwila amejiunga na Geita Gold kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya dili lake la kwenda Coastal Union ya Tanga iliyofanya mazungumzo naye mwanzoni ya kumhitaji kuingia dosari. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa timu hiyo zimelidokeza Mwanaspoti kuwa Katwila amesaini mkataba wa mwaka mmoja na muda wowote kuanzia sasa…

Read More

Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabianchi

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa lengo la kuwasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hali inayotajwa kuathiri uzalishaji wa mazao na kupunguza tija kwa wakulima wa eneo hilo. Mabadiliko ya tabianchi yameelezwa kuwa chanzo cha ardhi kupoteza rutuba, jambo linalowalazimu wakulima kutumia kiasi kikubwa…

Read More