
Serikali yafurahishwa na taaluma St Anne Marie Academy he
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imempongeza Mkurugenzi wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, Dk Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa ambao ameufanya kwenye sekta ya elimu. Pia imeipongeza shule hiyo kwa kuendelea kufanya vizuri kitaaluma mwaka hadi mwaka katika mitihani ya kitaifa. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa…