Ubingwa wa Yanga wamuibua Ramovic

BAADA ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo, aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Sead Ramovic amevunja ukimya na kutoa pongezi kwa klabu hiyo, huku akieleza fahari yake kwa kuwa sehemu ya mafanikio hayo. Ramovic, ambaye aliiongoza Yanga katika mzunguko wa kwanza wa msimu wa 2024/25 kabla ya kutimkia…

Read More

Atahadharisha usawa wa kijinsia kwenye ndoa

Dodoma. Wanawake nchini wametakiwa kutafsiri vizuri kuhusu usawa wa kijinsia kwamba haina maana mke kumdharau mume akitaka usawa ndani ya ndoa. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Dodoma Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Christer Kayombo, alipokuwa akitoa mada wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa…

Read More

VIONGOZI AFRIKA MASHARIKI WAAHIDI KUKABILIANA NA UVUVI HARAMU

  Katika kujenga mshikamano wa kikanda, viongozi wa serikali, wataalamu wa masuala ya bahari na uvuvi, viongozi wa jamii na wanaharakati wa uhifadhi wa mazingira ya pwani wameweka saini makubaliano ya kihistoria ya kuimarisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya Uvuvi Haramu, Usioripotiwa na Usiodhibitiwa katika maji ya Afrika Mashariki. Makubaliano haya yamefikiwa kupitia Kongamano la Sauti…

Read More

TRC yaongeza treni, barabara Dar zikifungwa

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza huduma za treni za mijini kati ya Stesheni ya Kamata na Pugu, jijini Dar es Salaam kwa siku ya leo Januari 27 na 28, 2025, kutokana na kufungwa kwa baadhi ya barabara za kuingia katikati ya jiji kutokana na mkutano wa nishati wa wakuu wa…

Read More

Haya yanaweza kuwavuta vijana kwenye kilimo

Arusha. Kukosekana mitaji, ardhi, na taarifa sahihi kunatajwa kuwa ni changamoto zinazowakabili vijana walio katika sekta ya kilimo. Kutokana na changamoto hiyo, Serikali kwa kushirikana na wadau imeombwa kufanya mageuzi ya sera kuwawezesha vijana kuzalisha mazao ya biashara na chakula, kuongeza hali ya usalama na mifumo ya chakula kwa ujumla. Hayo yameelezwa leo Jumamosi Septemba…

Read More