
Hii hapa ratiba kamili uchaguzi mkuu, kura ya mapema Zanzibar
Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba kamili ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025, ambapo kura ya mapema inatarajiwa kupigwa Oktoba 28, 2025. Akitangaza ratiba hiyo kwa waandishi wa habari leo Jumatatu, Agosti 18, 2025, Mwenyekiti wa tume hiyo, George Joseph Kazi, amevitaka vyama vya siasa vitakavyoweka wagombea pamoja na wagombea wenyewe katika ngazi…