RC CHALAMILA AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MANIEMA-CONGO DRC

………. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 25,2026 amekutana na Gavana wa Jimbo la Maniema-Congo DRC Mhe Mussa Kabwankubi Moise akiwa ameambatana na ujumbe wake alipomtembelea Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao wamekubaliana mashirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi na Masuala ya Kiusalama kati ya Mkoa…

Read More

UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA

  KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza  wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani (FCT) kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika leo Februari 27,2026 jijini Dodoma. …… KATIBU Tawala Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Mwajabu Nyamkomora, amesema uwajibikaji na uaminifu ni…

Read More

JKT yatinga fainali ya CECEFA

JKT Queens imetinga fainali ya michuano ya Afrika Mashariki na Kati kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuishinda Kenya Police Bullets kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya bao 1-1. Mechi hiyo imepigwa katika Uwanja wa Moi Kasarani, Naironi Kenya, ambako yanafayika mashindano hayo yaliyoanza Septemba 4 na fainali itapigwa keshokutwa…

Read More

Upelelezi bado kesi ya polisi kupora bodaboda ‎

‎‎Moshi. Jamhuri imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro bado linaendelea na upelelezi wa kesi ya wizi wa pikipiki kwa kutumia silaha inayowakabili askari wanne wa Kitengo cha Intelijensia. ‎‎Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano, Septemba 3, 2025 na mwendesha mashtaka katika kesi hiyo, Wakili wa Serikali Jackson Matowo, wakati…

Read More

CCM yamteua Kirumbe Naibu Katibu Mkuu Wazazi

Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Mjini aliyemaliza muda wake, Kirumbe Ng’enda ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara. Ng’enda anaukwaa wadhifa huo, akimrithi Mirumbe Chacha kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa chama hicho. Taarifa ya uteuzi wa Ng’enda inakuja siku moja baada ya jina lake…

Read More