Wanaotumia vibaya vyandarua vya msaada waonywa
Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adamu Malima amekemea tabia ya baadhi ya watu kuchukua vyandarua wanavyogawiwa bure na Bohari ya Dawa (MSD) na kuvigeuza mabanda ya kufugia kuku, ama nyavu za kuvulia samaki. Kufuatia hilo, Malima amewataka wakuu wa wilaya zote mkoani humo kufuatilia kwa karibu matumizi sahihi ya vyandarua hivyo. Malima ameyasema hayo…