
Maeneo 14 kuleta mapinduzi Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Dodoma. Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2025/26, yenye jumla ya Sh476.65, bilioni imepangwa kutekelezwa katika maeneo makuu 14, yakiwemo kukamilisha ujenzi wa Bandari ya Uvuvi katika eneo la Kilwa Masoko. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji, amewasilisha ombi kwa Bunge la kuidhinisha bajeti ya Sh476.65 bilioni kwa…