
Ali Kamwe amjaza upepo Kagoma kuwatuliza Wamorocco
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema katika jezi yake ataandika jina la kiungo wa Taifa Stars, Yusuph Kagoma ili kumhamasisha afanye vizuri mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco kwenye Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Agosti 22 mwaka huu, Taifa Stars itashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar kumenyana…