Hataki nijishughulishe na kwetu hatoi huduma

Mume wangu ananikataza kufanya biashara ilihali hanitimizii mahitaji yangu na ya familia yangu. Yeye anasaidia kwao kadri Mungu anavyomjalia, ila mimi hanipi msaada wa moja kwa moja kwetu ndiyo maana nataka kufanya biashara. Ila ananikataza kiasi anaona amekuwa kikwazo cha kuisaidia familia yangu ambapo nilikuwa nikifanya hivyo kabla hajanioa. Nafikiria kuachana naye, kabla sijafanya hivyo…

Read More

ABDALLAH ULEGA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE KWA KISHINDO JIMBO LA MKURANGA

  Amuombea kura mgombea Urais CCM Dk.Samia …agusia Katiba Mpya Na Mwandishi wetu, MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Alhaj Abdallah Ulega amewataka watanzania kama wanataka katiba mpya basi wanapaswa kumchagua Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema hata katika uzinduzi wa kampeni kitaifa zilizofanyika jijini Dar…

Read More

Athari ya kiu ya ufaulu kwa wanafunzi  na Taifa

Shinyanga. Katika jamii nyingi leo, ufaulu umegeuka kuwa lengo kuu la elimu. Kila mzazi, mwalimu na mwanafunzi anatamani kuona alama za juu, vyeti vingi na matokeo yanayovutia.  Hata hivyo, katika harakati hizo, mambo muhimu kama maadili, utu na ujuzi wa vitendo yameachwa nyuma au kupewa nafasi finyu. Takwimu na hali halisi ya kijamii vinaonyesha kuwa…

Read More

Bado Watatu – 37

Alinipeleka katika chumba kimoja ambako nilimkuta mume wangu Sufiani akiwa pamoja na askari niliyemfahamu kwa jina la Sajin Meja Robert. Polisi hao walikuwa wamepata ushahidi kuwa siku ile lilipotokea tukio…

Read More