ISW YAONGEZA FURSA MPYA KWA WANAOTAKA KUHUDUMIA JAMII KWA UTAALAMU
NJIA MBADALA ZA KUTATUA MIGOGORO NJE YA MAHAKAMA Akizungumza na mwandishi wa makala haya, Mhadhiri Msaidizi kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii, Idara ya taaluma za kazi,Asteria Mlambo amesema idara hiyo imeanzisha program mpya inayolenga kutatua migogoro kwa kutumia njia yingine tofauti na mahakama (Conflict Management and Alternative Dispute Resolution). Bi. Mlambo alisema program hiyo…