Ushindi wampa jeuri Ndayiragije | Mwanaspoti
USHINDI mtamu nyie. Baada ya TRA United kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Fountain Gate, kocha mkuu wa timu hiyo, Etienne Ndayiragije amesema matokeo hayo yametoa majibu ya kile alichokuwa anakifanyia kazi uwanja wa mazoezi kwa safu ya ushambuliaji na sasa anarudi kuanza na safu ya ulinzi ili kupunguza uwiano wa mabao ya kufunga…