
PUGU WAVUNJA MAKUNDI YA UDIWANI
HATIMAYE makundi ya watia nia wa kiti cha udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Pugu wilayani Ilala,jijini Dar es Salaam yamevunjwa rasmi leo kwa watia nia ambao kura za maoni hazikutosha kumuunga mkono mgombea Udiwani wa kata hiyo Frank Mang’ati. Mkutano Chama wa kuvunja makundi hayo umefanyika leo ambapo ulihudhuriwa na aliyekuwa Diwani…