Maulid ya kitaifa kufanyika mkoani Geita.
MKOA wa Geita unatarajiwa kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya kitaifa ya Maulid ya kuzaliwa mtume Muhammad usiku wa Septemba 15 kuamukia Septemba 16, viwanja vya CCM kalangalala mjini Geita. Hayo yameelezwa na Shehe wa Mkoa wa Geita, Alhaji Yusuph Kabadi mbele ya waandishi wa habari na kueleza Maulid hayo yatatanguliwa na wiki ya Maulid ambayo…