
Bhojan achukua fomu aahidi Kisutu mpya
MGOMBEA wa nafasi ya udiwani wa Kata ya Kisutu, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam, Tousif Bhojani, amechukua fomu za uteuzi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na kueleza kuwa dhamira yaya ni kuijenga Kisutu mpya. Bhojani alichukua fomu leo katika Ofisi za Ofisa Mtendaji Kata ya Kisutu, ambapo alikabidhiwa fomu hizo na Ofisa Mtendaji…