Sababu kesi ya kuporomoka jengo la Kariakoo yakwama mara ya nane
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa tena kusikiliza maelezo ya mashahidi na vielelezo (Commital Proceedings) katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wafanyabiashara sita wakiwemo wamiliki wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo. Kesi hiyo imeshindwa kuendelea kutokana na Jamhuri kubaini baadhi ya nyaraka muhimu katika kesi hizo…