
CHAN 2024: Uganda, Sauzi mmoja anatoka
BAADA ya makundi A na B kumaliza kazi na kutoa timu nne za kucheza hatua ya robo fainali, leo Jumatatu ni zamu ya Kundi C, huku wenyeji Uganda wakiwa na kibarua kizito mbele ya Afrika Kusini, kwani timu mojawapo ikizembea baada ya dakika 90 itaiaga michuano hiyo. Uganda na Afrika Kusini zinatarajiwa kuvaana katika mechi…