SIO ZENGWE: Simba ijiepushe na laana ya Manula

WAKATI ule wa usajili wa kutotumia mikataba, ilikuwa rahisi kwa klabu kutomwambia lolote mchezaji hadi siku ya mwisho ya usajili anapojikuta hayumo kwenye orodha ya klabu aliyokuwa anaichezea na kwa jumla hayumo kwenye usajili wa klabu yoyote hadi msimu mwingine. Wakati huo hakukuwa na dirisha la katikati ya msimu. Usajili ulikuwa mwanzoni mwa msimu pekee….

Read More

Chama la Wana Lajinasua mkiani

WAKATI mechi za Ligi ya Championship zikitarajiwa kuendelea tena keshokutwa Jumapili, Stand United (Chama la Wana), baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila kupata ushindi hatimaye juzi ilizinduka kwa kuichapa TMA Stars kwa bao 1-0 na kujinasua mkiani mwa msimamo wa ligi hiyo. Chama la Wana iliyokuwa imeganda mkiani kutokana na kudaiwa pointi zilizotokana na…

Read More