Waziri Ulega Awafunda TVA Kusimamia Taaluma ili Kuondokana na Makanjanja.
Na Jane Edward, Arusha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega amewataka madaktari wa wanyama nchini kutumia taaluma yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuepukana na makanjanja ambao wamekuwa wakiuza dawa feki na kuleta athari kwenye Mifugo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la 42 la Wataalamu wa Chama cha Madaktari wa Wanyama (TVA)Mkoani…