
Maandalizi ya CAF, KMKM yabeba kocha mpya
WAWAKILISHI wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika, KMKM imemnyakua kocha mpya kutoka Dar ili kujiweka tayari kwa pambano dhidi ya As Port ya Djibouti. Mabingwa hao wa Kombe la ZFF, imemuongeza kikosini kocha wa kituo cha JK Park cha jijini Dar es Salaam, Hababuu Ali kulisaidia benchi la ufundi la timu hiyo. KMKM imepata…