Lishe inavyoathiri hisia, afya ya akili
Watu wengi wanapozungumzia lishe, mawazo huenda moja kwa moja kwenye uzito wa mwili, nguvu za mwili au maumbile ya nje kama vile ngozi, nywele na misuli. Hata hivyo, kuna upande mwingine muhimu wa lishe ambao haupewi uzito wa kutosha, nao ni ule wa athari zake kwenye hisia na afya ya akili. Lishe unayokula kila siku…