UN yasema hali ya usalama Haiti inazidi kuwa hatari
Taifa hilo na limendelea kushuhudia ghasia za magenge, na Umoja wa Mataifa unakisia kwamba tayari magenge yamechukua mamlaka wa asilimia 85 ya mji mkuu wa Port-au-Prince. O’Neil alisema kuwa inazidi kuzorota zaidi kila anapotembelea taifa hilo. Alisema kwamba kutojali na ufisadi ni vizingiti kuvunja magenge hayo. Aliongeza serikali ya Haiti ni lazima iweke kipaumbele cha…