Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe adaiwa kuuawa kwa kuchomwa moto, Polisi yaanza uchunguzi

Mbeya. Wakati taharuki ikitanda jijini Mbeya kuhusu kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Mzumbe ndaki ya Mbeya, Shairose Mabula anayedaiwa kuawa  kwa kuchomwa moto na wasiojulikana, Jeshi la Polisi mkoani humo limesema linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.  Taarifa ya tukio la kuuawa kwa mwanafunzi huyo zilianza kusambaa leo Alhamisi…

Read More

VODACOM YAZINDUA KAMPENI KABAMBE “NI BALAAA” KILA MTU NI MSHINDI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Dar es Salaam: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano Vodacom Tanzania Plc leo imezindua kampeni kabambe inayojulikana kama “Ni Balaaa” ikiwa na lengo la kuwanufaisha wateja wake na jamii nzima kiujumla. Kampeni hii kubwa na ya kitaifa inalenga kunufaisha watanzania wengi ambapo kutakuwa na washindi wa kila siku, wiki, mwezi na washindi watano wa zawadi kuu…

Read More

TFS SHINES NATIONALLY, WINS BEST FOREST CONSERVATION AND BIODIVERSITY PROTECTION AWARD

The Tanzania Forest Services Agency (TFS) has made national history in the natural resources sector after winning the Best Forest Conservation and Biodiversity Protection Award (TPSIA) 2025, an accolade recognizing institutions that have demonstrated positive and sustainable results in safeguarding natural resources. The award was presented yesterday, 16th December 2025, in Dar es Salaam during…

Read More

Simba yatisha Waarabu | Mwanaspoti

JOTO la Simba limeanza kuwaingia Al Ahly Tripoli ya Libya baada ya kuitana mezani kuweka yamini jinsi ya kuwakabili wawakilishi hao wa Tanzania kwenye mechi mbili za Kombe la Shirikisho. Wamempa masharti mazito, Kocha Mtunisia Chokri Khatoui kwamba lazima kwa namna yoyote timu yao ivuke sambamba na kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja wenye sharti la…

Read More

Ndayiragije akuna mabosi, kulamba dili jipya

MABOSI wa Police FC ya Kenya wanatarajiwa kumsainisha mkataba mpya wa mwaka mmoja kocha mkuu Etienne Ndayiragije baada ya kuridhishwa na utendaji wake wa kazi tangu alipotua katika kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu Kenya (FKF-PL). Kocha huyo raia wa Burundi aliyewahi kuzinoa Mbao FC, Azam FC na KMC zilizopo Ligi Kuu Bara amekuwa kocha wa…

Read More