MASHINDANO YA QURAN KUZIKUTANISHA NCHI 26 DUNIANI KUFANYIKA MAC 31 TANZANIA
I **** Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amesema mashindano ya Quran yanayotarajiwa kufanyika nchini ni sehemu ya ushirikiano kati ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Wizara ya Dini ya Saudi Arabia. Amesema ushirikiano huo unalenga kuhamasisha na kuendeleza usomaji wa Quran kwa Waislamu, huku pia ukitoa fursa kwa wasomaji kuonesha…