
Heshima uliyonipa ni ya Wanaruvuma Wote – Global Publishers
MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema katika mikoa 11 ambayo tayari amefanya mikutano ya kampeni wananchi wameshasema kwamba watampigia kura za kishindo Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,2025. Dk.Nchimbi ameyasema hayo leo Septemba…