
Papa Francis Hali Tete, Akutwa Na Tatizo La Figo – Global Publishers
Shirika la Habari la AP, usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, Februari 24, limeripoti kuwa Papa Francis yupo mahututi huku vipimo vya damu vikionyesha dalili za awali za ugonjwa wa figo kushindwa kufanya kazi. Hata hivyo, bado yuko macho na anatambua watu, na aliweza kuhudhuria misa ya Jumapili, Vatican imesema. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye…