Wadau wakutana kitathmini lishe | Mwananchi
Morogoro. Tathmini ya mapambano dhidi ya udumavu na upungufu wa lishe bora hasa kwa watoto chini ya miaka mitano na wajawazito, imebaini uwepo wa changamoto kadhaa ikiwamo uelewa mdogo wa wazazi na walezi. Hayo yamebainika katika kikao cha viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, wataalamu kutoka sekta mbalimbali pamoja na wadau wa lishe kuhusu…